2015
Twitter ya Ben pol kwa Alikiba yazua haya

haya ameandika mtangazaji wa startv Hivi umewahi jiuliza kwanini Mungu alikupa kipaji?tena kw akafanya kipaji chako kuwa tofauti na mwengin...

Davido aongea kuhusu Agnes Masogange

DAVIDO AIKANA ‘MIMBA’ YA MASOGANGE, AELEZA KWA UREFU Davido amelazimika kuandika maelezo marefu kwenye Twitter kukanusha kuwa ndiye aliy...

Wananchi wa Mlonganzira wavamia ofisi za wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi wakishinikiza kulipwa madai.

Baadhi ya wananchi wa eneo la Mloganzira Kwembe jijini Dar es Salaam wamevamia ofisi za wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ...

Ndege ya ajabu

Freedom Ship: Jiji linaloelea kwenye maji, itakuwa ni meli kubwa yenye shule, hospitali, casino, shopping center, uwanja wa ndege na makaz...

Diamond platnumz achaguliwa kugombea tuzo nchini ghana

Chibu dangote ameteuliwa kuwania tuzo ya mwanamziki bora wa africa katika tuzo za huko ghana

Ajal ya gari la abiria yauwa tena

ABIRIA 13 wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki dunia mkoani Singida leo, baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah T.730 BUK,...

Mabibo hostel hatarini kuteketea kwa moto

Habari zilizotujia hivi punde ni kua hostel ya mabibo block b hostel inayotunza wanafunz wa chuo kikuu cha dar es salaam. Ilikua hatarini ku...