2016-08-14
TAHADHARI DHIDI YA MATAPELI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO NA WADHAMINI WAO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha  waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017 ...