2015-01-18
Spika wa Bunge amesema sio jukumu lake kuwaondoa wenyeviti wa kamati za Bunge ambao wanatuhumiwa katika sakata la Escrow.

Spika wa bunge Mh Anna Makinda amesema siyo jukumu lake kuwaondoa wenyeviti wa kamati za bunge ambao wanatuhumiwa katika sakata la akaunti...