2013-11-17
Ingia hapa usome kitu cha mwisho alichokiandika facebook Mwanaume alieuwa watu kwa risasi Dar.

Anaitwa Gabriel Munissi mkazi wa Mwanza ambae Polisi Ilala Dar es salaam ilithibitisha kwamba ndio amehusika kufanya mauaji ya watu wengi...