Kimbunga Maria kilichopata nguvu na kufikia kiwango cha tano kimepiga kisiwa cha Caribbean cha Dominica kikiwa na upepo wa kasi ya kilom...
BEIJING, CHINA SIKU mbili tu baada ya Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kukaririwa akisema amezungumza na sehemu kubwa ya viongozi...
CHRISTINA GAULUHANGA Na MAULI MUYENJWA-DAR ES SALAAM SHERIA mpya ya kulipa mikopo kwa wahitimu wa elimu ya juu iliyopitishwa na Bunge h...
PATRICIA KIMELEMETA UKATILI wa ngono bado ni tatizo nchini ambako zaidi ya asilimia 80 ya wanawake wamefanyiwa katika mwaka mmoja. Ak...
MSIBA wa aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, maheremu Samuel Sitta, umeacha historia ya aina yake kati ya wabunge wa vyama vya upinzani...
Na UPENDO MOSHA, MOSHI MATUKIO ya ulawiti na ubakaji kwa watoto mkoani Kilimanjaro, yametajwa kuongezeka kutokana na mmomonyoko wa ma...
NI ujambazi wa kutisha. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kuibuka na wizi unaofanywa na majambazi katika maeneo mbalimbali nchini. ...
Na RAPHAEL OKELLO, BUNDA MKAZI wa Kijiji cha Ligamba B wilayani Bunda mkoani Mara, Monica Fumbuka (70), ambaye ni mjane, amechapwa vib...
NI shida! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ...
NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM HATIMAYE ujenzi wa hospitali ya Chuo Kikuu cha Sayansi Muhimbili (Muhas) Kampasi ya Mloganzila, umemal...
Kampuni ya Yahoo imethibitisha kuwa akaunti milioni 500 za wateja wake zimeibiwa, jambo ambalo ni la uvunjifu wa sheria. Kampuni hiyo i...
MITANDAO ya kijamii ni mojawapo ya mawasiliano ambayo yamekuwa yakitumika kuwasaidia watu kujua habari mbalimbali. Mitandao hiyo imekuw...
KAMPUNI ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imegeuziwa kibao katika suala la Escrow, imefahamika. Kampuni hiyo ...
KUTOKANA na kushuka kwa kiwango cha elimu mkoani Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana, ametoa siku 14 za kukutana na wakuu ...
SERIKALI imesema wafanyakazi wa sekta ya afya ndio wanaopokea viwango vikubwa vya mishahara wakifuatiwa na wale wa sekta ya elimu nchini...
MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania jana imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni (SP), Christopher Bag...
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SERIKALI imeingilia kati na kuanza mazungumzo ya kuwaokoa madereva 12 wa malori kutoka Tanzania wali...
Vituo 38 vyafungwa baada ya wafadhili kuondoka * Wananchi Bukoba walilia misaada, tetemeko laendelea kutikisa Na Veronica Romwald...
NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, alimdhibiti Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko (Chadema), kwa kumtaka asisome maelezo yasiyohu...