Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh Wiliam Lukuvi ameziagiza halmashauri za wilaya kuhakikisha kuwa maeneo yote ya miji yanapimwa kabla ya kuvamiwa na kujengwa kiholela na wananchi kwani ni jambo linalowezekana.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa nyumba za watu wenye kipato cha chini na cha kati unaotekelezwa nashirika la nyumba la taifa (NHC) katika wilaya ya Longido mkoani Arusha Mh Lukuvi amesema kusubiri wananchi wajenge kiholela na baadaye kubomoa nyumba zao ni kuwaongezea umaskini usio wa lazima.
 
Mkurugenzi wa shirika hilo la nyumba la taifa Bw Nehemia Mchechu na mbunge wa Longoido Mh  Michael Lekule Laiser wamesema mradi huo  utakaogharimu zaidi ya milioni 900 utawawezesha wakazi wa longido kuwa na makazi bora na amewataka kutoa ushirikiano na pia  kuchangamkia fursa hiyo
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours