Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC)imesema Zoezi lakuipigia kura za maoni katiba inayopendekezwa lililokuwa lifanyike April 30 limeahirishwa hadi hapo tume itakapo tangaza tena tarehe ya kupiga kura.Hii inatokana nakutokamilika kwa zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la kupiga kura

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours