2014-11-09
Dr. Jakaya mrisho kikwete Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji w...