Articles by "News"
Showing posts with label News. Show all posts
Bibi wa miaka 70 achapwa viboko hadharani akidaiwa kuiba 100,000/-

Na RAPHAEL OKELLO, BUNDA MKAZI wa Kijiji cha Ligamba B wilayani Bunda mkoani Mara, Monica Fumbuka (70), ambaye ni mjane, amechapwa vib...

Utata mamilioni ya Lipumba

NI shida! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ...

Ujenzi hospitali ya Muhas wakamilika

NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM HATIMAYE ujenzi wa hospitali ya Chuo Kikuu cha Sayansi Muhimbili (Muhas) Kampasi ya Mloganzila, umemal...

Akaunti milioni 500 za Yahoo zaibiwa

Kampuni ya Yahoo imethibitisha kuwa akaunti milioni 500 za wateja wake zimeibiwa, jambo ambalo ni la uvunjifu wa sheria. Kampuni hiyo i...

‘Mitandao ya kijamii ikitumika vibaya ni sumu kwa wanafunzi’

MITANDAO ya kijamii ni mojawapo ya mawasiliano ambayo yamekuwa yakitumika kuwasaidia watu kujua habari mbalimbali. Mitandao hiyo imekuw...

IPTL yageuziwa kibao Escrow

KAMPUNI ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imegeuziwa kibao katika suala la Escrow, imefahamika. Kampuni hiyo ...

Kiwango cha elimu chamshtua RC

KUTOKANA na kushuka kwa kiwango cha elimu mkoani Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana,  ametoa siku 14 za kukutana na wakuu ...

Madaktari, manesi, walimu wachuana mishahara

SERIKALI imesema wafanyakazi wa sekta ya afya ndio wanaopokea viwango vikubwa vya mishahara wakifuatiwa na wale wa sekta ya elimu nchini...