Rais Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri. Katika mabadiliko hayo, Mhe. Rais amemteua Prof. Palamagamba Aidan John Mwaluko Kubudi kuwa waziri wa katiba na sheria.
Aidha, Mhe. Dkt Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo.
0 comments so far,add yours