Atletico Madrid wakanusha Griezmann kuvunjika mguu

MADRID, HISPANIA UONGOZI wa klabu ya Atletico Madrid, wamekanusha taarifa kwamba mshambuliaji wao Nyota, Antoine Griezmann, kuwa amevun...

Rais wa China ampongeza Trump

BEIJING, CHINA SIKU mbili tu baada ya Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kukaririwa akisema amezungumza na sehemu kubwa ya viongozi...

Wahitimu elimu ya juu kuanza kubanwa

CHRISTINA GAULUHANGA Na MAULI MUYENJWA-DAR ES SALAAM SHERIA mpya ya kulipa mikopo kwa wahitimu wa elimu ya juu iliyopitishwa na Bunge h...

Msuva: Wanaonifananisha na Kichuya wanakosea

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM WINGA machachari wa timu ya Yanga, Simon Msuva, amesema wale wote wanaomfananisha na mshambuliaji wa timu...

‘Ukatili wa  ngono bado tatizo nchini’

PATRICIA KIMELEMETA UKATILI wa ngono bado ni tatizo nchini ambako zaidi ya asilimia 80 ya wanawake wamefanyiwa katika   mwaka mmoja. Ak...

ACT WAZALENDO YAMSHANGAA RC KAGERA

PATRICIA KIMELEMETA NA CHRISTINA GAULUHANGA SIKU mojaa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu kuwaamibia wa...

Sitta aponya majeraha bungeni

MSIBA wa aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, maheremu Samuel Sitta, umeacha historia ya aina yake  kati ya wabunge wa vyama vya upinzani...

Fomu za uongozi TOC leo

Na WINFRIDA NGONYANI-DAR ES SALAAM FOMU za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), zinaanza kutolewa...