
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Mkurugenzi wa bidhaa hizo Flora Christandus alisema>>>‘Believe disposable seat cover itasaidia
hasa pale mtu anapohitaji kwenye toilet kisha ataiweka pembezoni kabla
ya kukalia choo hicho ili kuzuia magonjwa mbalimbali baada ya kumaliza
matumizi ya hiyo Disposable seat cover utairuhusu iende na maji‘-
.Huu ndio mfano wa matumizi ya Believe disposable seat cover chooni

.Mfano wa matumizi ya Blotting paper usoni
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye uzinduzi huo uliofanyika Terrance Lounge My Fair Plaza.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Kulia ni Mkurugenzi wa bidhaa hizo mpya, Flora Christandus akitoa maelekezo juu ya Believe disposable seat cover ambayo itahusika kutumika katika matumizi ya chooni.
0 comments so far,add yours