Articles by "News"
Showing posts with label News. Show all posts
JPM ashtukia walioficha mabilioni nyumbani

RAIS Dk. John Magufuli ameshtukia mchezo unaofanywa na baadhi ya watu wakiwamo viongozi, kuficha mabilioni ya fedha ndani na kutangaza u...

Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na ...

SIRI NZITO RISASI VIKINDU

HALI ya taharuki imetanda baada ya usiku mzima wa kuamkia jana Kikosi Maalumu cha Jeshi la Polisi cha Kupambana na Uhalifu, kupambana na ...

Tupo salama kwa kiwango cha kimataifa – Dk. Kimei

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KUKUA kwa teknolojia kumerahisisha ufanisi wa utunzaji fedha kutokana na kuwapo kwa benki na hivyo kuch...

Lowassa: Tumejiandaa na Ukuta

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema chama hicho kimeshajiandaa vya kutosha kwa ...

TAHADHARI DHIDI YA MATAPELI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO NA WADHAMINI WAO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha  waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017 ...

 LOWASSA ASHANGAZWA MIKUTANO YA KISIASA KUZUIWA

Arusha. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameshangazwa na polisi kuhusu uzuiwaji wa mikutano ya kisi...