Articles by "News"
Showing posts with label News. Show all posts
Wafugaji jamii ya Wadatoga wilayani babati wajificha vichakani kupinga kuhamishwa

vitatu wilayani Babati mkoani Manyara wakiwa na silaha za jadi mishale na mikuki wanalazimika kulala nje ya maboma yao wakipinga uamuzi wa...

Makamu wa Rais amewataka viongozi wa siasa na serikali kufuata taratibu pindi wanapowawajibisha watumishi.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu amewataka viongozi wa siasa na serikali kufuata taratibu za uwajibish...

Waziri wa Ujenzi wa Zanzibar Balozi Karume aonya wale wenye fitina na majungu makazin

Waziri mpya wa Ujenzi, Mawasilaino na usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume amewatahadharisha wafanyakazi wa wizara hiyo kuweka...

Zaidi ya kaya 1800 zakumbwa na maafa baada ya mvua kubwa kunyesha na kuezua mapaa mkoani Kilimanjaro

Zaidi ya kaya 1800 katika kata ya Machame Uroki,wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro zimekumbwa na maafa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na ...

serikali inaangalia uwezekano wa kuanza kuwatumia vijana wa skauti katika vyombo vya ulinzi na usalama .

serikali inaangalia uwezekano wa kuanza kuwatumia vijana wa skauti katika vyombo vya ulinzi na usalama huku ikiwaagiza wakurugenzi wa halm...