Articles by "All"
Showing posts with label All. Show all posts
Kwanini Kaseja, Banka ‘beach soccer’?

TANZANIA tumebarikiwa kuwa na vipaji vingi vya soka ambavyo vikitumika vizuri vinaweza kusaidia kuipeperusha vema bendera ya taifa letu...

Kiwango cha elimu chamshtua RC

KUTOKANA na kushuka kwa kiwango cha elimu mkoani Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana,  ametoa siku 14 za kukutana na wakuu ...

SUNDAY JUMA: Mkongwe anayeshauri TFF kuwapa kipaumbele makocha wazawa

JINA la winga Sunday Juma, si geni masikioni mwa wapenzi wa soka nchini hasa wale wa klabu ya Simba maarufu Wekundu wa Msimbazi, kwani ...

Madaktari, manesi, walimu wachuana mishahara

SERIKALI imesema wafanyakazi wa sekta ya afya ndio wanaopokea viwango vikubwa vya mishahara wakifuatiwa na wale wa sekta ya elimu nchini...

Kachero Polisi ahukumiwa kifo

MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania jana imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni (SP), Christopher Bag...

Walemavu Dar wafikisha kilio chao kwa meya

UMOJA wa Walemavu Waendesha Bajaji jijini la Dar es Salaam, wamemwomba Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita,  kuhakikisha wanapat...