Waziri mpya wa Ujenzi, Mawasilaino na usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume amewatahadharisha wafanyakazi wa wizara hiyo kuweka...
We all Know Nobody Works Harder To stay the same. tshrts 15000 na hoods ni 30000 toa oda yako nawait oder hala at me 0718515783 au 0686720...
Zaidi ya kaya 1800 zakumbwa na maafa baada ya mvua kubwa kunyesha na kuezua mapaa mkoani Kilimanjaro
Zaidi ya kaya 1800 katika kata ya Machame Uroki,wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro zimekumbwa na maafa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na ...
Siku moja kabla ya kufika siku ya uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar hapo kesho watu wasio julikana usiku wa kuamkia leo wameziwae...
Wanafunzi zaidi ya 300 wa shule za msingi Masuguru na Muheza zilizopo wilayani Muheza wanalazimka kukaa kwenye Majanvi na mifuko aina ya Vir...
Mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewahukumu raia wawili wa china kulipa faini ya shilingi bilioni 108.7 ama kwenda jela kifungo cha miaka...
Taarifa ambayo imetolewa na kaimu mkurugenzi mkuu wa mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa imesema kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
Wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu wamemuomba Waziri Mkuu ,KASIM MAJALIWA kuwasaidia kuondoa mgogoro uliopo kati yao na mwekezaji wa ...