Articles by "All"
Showing posts with label All. Show all posts
Mourinho kumwalika Guardiola baada ya ‘Manchester Derby’

KOCHA wa timu ya Manchester United, Jose Mourinho, amesema ataendeleza utamaduni wa kupongezana  kwa kumwalika mpinzani wake, Kocha wa ...

Cecafa yatibua ratiba Ligi Kuu

ALAAM BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limethibitisha kuwa Kenya itakua mwenyeji ya michuano ya Kombe la C...

Ukweli kuhusu pikipiki ya maajabu Dar

UKWELI juu ya pikipiki iliyoko eneo la Veterinary, Temeke, inayodaiwa kuwa na maajabu umejulikana. Juzi katika mitandao mbalimbali ya k...

Vigogo sita Ukawa wakutana faragha

VIONGOZI wa juu wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walikutana jijini Dar es Salaam na kufanya kikao kizito ch...

ACT – Wazalendo yatabiri uchumi kuporomoka

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimesema katika kipindi cha miezi sita tangu Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, uchumi wa taifa umepo...

Usajili vyama vipya wasitishwa

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesitisha kwa muda usajili wa vyama vipya vya siasa. Akizungumza katika mahojiano ma...

Kesi ya kupinga ushindi wa Rais Lungu yatupwa

LUSAKA, ZAMBIA MAHAKAMA ya Katiba nchini Zambia imetupilia mbali kesi ya mgombea urais wa chama cha upinzani cha United Party for Natio...

Spika Ndugai akata mzizi wa fitina

DODOMA SPIKA wa Bunge,  amekata mzizi wa fitina huku akikemea tabia ya baadhi ya wabunge kuwatukuza baadhi watu wengine na wao kuonekana...