SUMBAWANGA
  Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, George Kyando, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Pascha Ramadhani (48), Elisi Ulaya (45), Wilbeth Ramadhani na George Kapombe (43). Wengine ni Radislaus Ntinda (33), Festus Misala (38), Cletus Kanyama (27), Lodrick Kanyama (56) na Flowin Misali (25). Watuhumiwa wanatarajia kupandishwa kizimbani baada ya upelelezi kukamilika.
Alisema pamoja na operesheni hiyo, ushirikiano mzuri kutoka kwa wananchi wema waliotoa taarifa umesaidia kukamatwa kwa watuhumiwa hao.
Alisema kilimo cha bangi kimeanza kujitokeza mkoani Rukwa, kitendo ambacho ni hatari na kuongeza kuwa iwapo jitihada za kukomesha hazitachukuliwa haraka, hali itakuwa mbaya.
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours