Singer | Song Writter |
Naseeb Abdul 'Diamond'
Mzaliwa wa Kigoma na ni mtunzi na mwimbaji wa miziki ya Bongo Fleva, ameibuka kidedea baada ya kujinyakulia tuzo tatu katika tamasha la Utoaji Tuzo za Kili Music Award 2012.
Diamond ambaye mwaka 2010 aliibuka pia kidedea kwa kuzoa tuzo nyingi na mwaka 2011 kumpa nafasi 20% kwa kuzoa tuzo nyingi mwaka huu amenyakua tuzo ya MTUNZI BORA WA MWAKA 2012, MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME wa 2012 na Video yake ya Mawazo ikinyakua tuzo ya VIDEO BORA YA MWAKA 2012.
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours