Articles by "News"
Showing posts with label News. Show all posts
Kachero Polisi ahukumiwa kifo

MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania jana imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni (SP), Christopher Bag...

Maisha ya madereva 10 waliotekwa DRC hatarini

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SERIKALI imeingilia kati na kuanza mazungumzo ya kuwaokoa madereva 12 wa malori kutoka Tanzania wali...

Mitambo ya kupima tetemeko yaibwa

Vituo 38 vyafungwa baada ya wafadhili kuondoka  * Wananchi Bukoba walilia misaada, tetemeko laendelea  kutikisa Na Veronica Romwald...

Dk. Tulia awabana wabunge wa Ukawa

NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, alimdhibiti Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko (Chadema), kwa kumtaka asisome maelezo yasiyohu...

Vigogo sita Ukawa wakutana faragha

VIONGOZI wa juu wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walikutana jijini Dar es Salaam na kufanya kikao kizito ch...

ACT – Wazalendo yatabiri uchumi kuporomoka

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimesema katika kipindi cha miezi sita tangu Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, uchumi wa taifa umepo...

Usajili vyama vipya wasitishwa

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesitisha kwa muda usajili wa vyama vipya vya siasa. Akizungumza katika mahojiano ma...

Spika Ndugai akata mzizi wa fitina

DODOMA SPIKA wa Bunge,  amekata mzizi wa fitina huku akikemea tabia ya baadhi ya wabunge kuwatukuza baadhi watu wengine na wao kuonekana...