Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein amewataka watendaji serikalini kujali nchi na sio maslahi yao na kuwakemea wale wanaofananisha serikali sawa na makampuni yao.
Dr Shein ametoa tahadhari hiyo hapa Zanzibar wakati akiufunga
mkuatno wa nane wa baraza la biashara la Zanzibar ambapo amemsema ni
jambo la kushnagaza kuona baadhi yawatendaji wamekuwa wakijali maslahi
yao na kuidharau seriklai amesema serikali imepania kuleta mabadiliko ya
uchumi kwa kushirikiana na sekta binafsi.
Mapema balozi seif Ali Idi makamu wa pili wa rais ambaye ndie
mtendaji mkuu wa seriklai amekiri kuwepo kwa urasimu wa watendaji katika
kupitisha miradi yauwekezaji hali ambayo inaiharibia jina la Zanzibar
ambapo baadhi ya taarifa zinazosambazwa zinatangaza vibaya Zanzibar juu
ya uwekezaji.
Hata hivyo waziri wa biashra, viwanda na masoko Mhe Nassor Ahmed
Mazuri akitoa tathmini ya biashara amemsmea pamekuwepo na ongezeko kubwa
la biashara za nje nakwaupande wa bishara ya ndani pande mbili za
muungnao zimepata mafanikoi makubwa ya biashara.
Mkutano huo wa nane ambayo mwenyekiti wake ni rais wa Zanzibar
unawakutanisha watendaji wote wa seriklai na wafanyabiashara wasekta
binafsi.
0 comments so far,add yours