Watumiaji wa kituo cha mabasi ya mikoani na nchi jirani cha Ubungo
jijini Dar es salaam wakiwemo madereva, abiria, na wakatisha teketi
wameshangazwa na kitendo cha kituo hicho kwa sasa kugeuzwa sehemu ya
kuhifadhi vifusi vya udongo jambo ambalo limewashangaza kwa nini zoezi
hilo linaendelea kutokana na vifusi hivyo kutokutumika ndani ya kituo
hicho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours