Fahamu Mwanzoni mwa mwezi wa sita mwaka huu producer Sheddy Clever alitangaza kuweka vifaa vya studio sokoni na kusema kuwa anampango wa kuingiza vifaa vipya kwaajili ya studio mpya. July 22 2014 Sheddy Clever amefanikiwa kuhamishia studio yake ya Burn Records maeneo ya Sinza, Mkabala na mlimani city kwenye round about ya kanisa la kakobe jirani tu na bar ya Katarunya.
Home
#EA RadioNa Tv
All
Shedy clever Producer wa nyimbo kali mbali mbali kama Number one ya Diamond ahamisha studio zake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours