Mtayarishaji wa muziki mkongwe duniani Dr Dre amezungumza kwenye mahojiano na jarida la XXL kuhusu kukamilisha album yake aliyosema ni ya mwisho album ya Detox. Dre anasema anatumia muda mwingi studio huko mjini Detroit na rapper Eminem ilikukamilisha album hii mapema iwezekanavyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours