Kutoka TMK, msanii ambaye aliwahi kuwa mchezaji basketball hadi
kupewa nafasi ya kujiunga na jeshi kutokana na kucheza mchezo huo lakini
lishindikana kutokana na kuwa na tatoo. Habari nzuri ni kwamba Temba
amepata mtoto mwingine na kufanya idadi ya watoto wake kuwa wawili.
Mtoto huyo wa kiume amepewa jina laMelyvin ambaye pia dada yake anaitwa Mishell
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours