Kama kawaida hakushinda diamond platnumz pekee ila pia lady jaydee alishinda kama msanii bora mwanamke wa Africa mashariki Tz tumewakalisha chini @ladyjaydeeismyidol @ladyjaydeeismyidol hongera sana lady comando anaconda mwenyewe ila pia big up kwa sheddy clever kuchukua producer bora we did it Tanzania huu mwaka wetu.
Home
All
Katika AFIMMA shedy clever pia alishinda tuzo ya producer pamoja na Lady jaydee alishinda kama mwanamke bora wa Africa mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours