Mvua kubwa inyeshayo jijini Dar imewaacha wakazi wake katika wakati mgumu pale wakikosa mahali pa kulala kwan maji yameingia mpaka ndani mwao hii inatokana na mlundikano wa watu wengi katika jiji la Dar huku miundo mbinu ikiwa hafifu kutokidhi idadi ya wakazi. Tunawapa pole wote waliopatwa na shida hii. MUNGU AWALINDE.
Home
Unlabelled
Madhara ya mvua inyeshayo jijini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours