Kuna ugonjwa umezuka mjini.haojajulikaana ni ugonjwa.gani.dalili ni mtu kuumwa kichwa na kuharisha ugonjwa watokana na kula.vyakula hivyo nakuasa usile.vitu mjin na kua makin.na unavyokula.uwe umeviandaa vizuri ni kwa.wakaz wa morogoro huu ugonjwa mpya.haijajulikana dawa ni nini sasa hiv watu wamelazwa hospitalin
Home
Unlabelled
MOROGORO TAHADHARI UGONJWA USIO JULIKANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours