Jamaa mmoja alikuwa na hisia za mapenzi kwa binti mmoja siku nyingi sana. Lakini hakuweza kujieleza; siku moja akajikakamua kumuandika binti message "I love u so much tafadhali nijibu hisia zako"! Baada ya muda mchache simu yake iliingia msg, nguvu zilimuisha kwa kutaka kujua binti kajibu nini akaamua kulala asome msg siku inayofata....labda angepata ujasiri wa kuifungua msg. Siku iliyofuata jamaa akaamka mapema akafagia uwanja, akafanya usafi nyumba nzima na kazi zote mpaka watu wakamshangaa, mwishowe akaoga na kupata muda wa kupumzika na kujitupa kitandani kwa shauku ili aisome msg aliyojibiwa. Kufungua sms akakuta........................"Hauna salio la kutosha kutumia huduma hii, bonyeza *149*22# kupata Tigo niwezeshe. TIGO EXPRESS YOURSELF"

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours