Tumia asali kutibu kuungua ukiwa nyumba mda wowote kama huduma ya kwanza, fata step hizi:-
1. Osha sehemu uliyoungua haraka na maji ya baridi yanayotiririka( usiweke ICE sehemu uliyoungua)
2.dondoshea asali ya kutosha mahali ulipoungua
3.chukua naylon laini na funika mahali ulipoungua baada ya kumwagia asali na funga vizuri kisha acha kwa mda wa masaa 48
4.fungua kidonda na weka asali nyingune na ufunge tena.
5. Endelea kufanya hivyo mpaka kidonda kitapo pona ambapo unaweza ukawa unapaka asali na kukiacha wazi kwa mda.
ASALI INATUMIKA MANA INAZUIA MAZALIA YA BAKTERIA LAKINI PIA INAUA BAKTERIA.
Unaweza SHARE na wengine pia
Unaweza SHARE na wengine pia
0 comments so far,add yours