SALI NA MDALASINI KUTIBU GAS TUMBONI
Wenye matatizo ya kusumbuliwa na GAS tumboni unaweza kujitibu kwa kutumia ASALI na MDALASINI.
changanya sehemu moja ya MDALASINI kwa sehemu mbili za ASALI na unywe mchanganyiko huo kila siku asubuhi wakati tumbo likiwa tupu na usiku kabla ya kulala!
Punguza matumizi pale utakapoona tatizo linapungua.
SHARE na wengine ukipenda.
Kwa dondoo zaidi usiache KULIKE page yetu.
 
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours