Milard Ayo wa katikati |
Mtangazaji wa Clouds Fm Millard Ayo alipewa tuo na familia ya
Marehemu Kanumba kwakuutambua mchango wake. Milard Ayo ni Mtangazaji anaejituma na mwenye sifa zote anastahili zaidi ya aliyopewa kwa kutoa taarifa sahihi akiwa anajituma..toa wazo lako...
0 comments so far,add yours