Jumapili ya November 5, 2017 video ya live Instagram ya Zari ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya mashabiki walianza kutoa comment kwa kuhusisha kinachoongelewa na Zari kuwa kinamlenga Hamisa Mobetto ambaye amemfungulia kesi ya madai ya mtoto mzazi mwenzake (Diamond) ili aanze kumtunza mtoto wake (Abdulateef) kisheria.
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours