Breaking news:sasa hivi saa 8.15mchana.Kuna tukio hapa tmj hospital. Majambazi wakikimbia kwa miguu wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa risasi kadhaa. Askari magereza na polisi wamejeruhiwa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanasgangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours