HATIMAYE Gazeti la MTANZANIA, ambalo lilikuwa limefungiwa na Serikali
kwa siku 90, kesho litaanza kuonekana mitaani, baada ya kumaliza adhabu
hiyo. Gazeti hilo, ambalo linamilikiwa na Kampuni ya New Habari (2006)
Limited, inayochapisha magazeti ya Rai, The African, Bingwa na Dimba,
linarudi mitaani likiwa na sura mpya.
Home
Unlabelled
Mtanzania kurejea mtaani kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours