Katika ripoti ya kamati ya bunge iliyotoa tuhuma lukuki kwa mawaziri Mh.Rais ameamua kuwasitisha kaz waziri wa mambo ya ndani,waziri wa ulinzi,waziri wa mali asili ba utalii
pamoja na waziri mwingne wa fedha. Uamuzi huu ulitangazwa hapo jana na MH Waziri mkuu ndugu Mizengo Pinda
Home
Unlabelled
Mawaziri.watatu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania wamefukuzwa kazi huku mwingnine akijiuzulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments so far,add yours