Hitmaker wa 'Moyo Wangu' Naseeb Abdul akiwa ni miongoni mwa wasanii walio katika ziara ya Serengeti Fiesta sasa leo kwenye semina ya fursa huko mkoani Tabora aliweza kufunguka na kueleza jinsi alivyosota,alivyouza mitumba,mafuta na kazi ya kiwadani. Itazame hii video hapa uone jinsi akielezea huko mkoani Tabora
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours