Mwandishi nguli wa Tamthiliya na Riwaya hapa nchin Dr Edwin Semzaba amefariki usiku wa jana kuamkia leo. Mbali ya kuwa mwandishi pia alikuwa Mwalimu Katika Chuo Kikuu Dar es Salaam Katika Idara ya Sanaa na Sayansi ya Jamii. Uandishi wake ulikuwa wa hali ya juu,taifa na Wanazuoni katika mambo ya Kiswahili wamepatwa na pengo lisilo zibika Dr Mohamed Omary Mwanazuoni ambae ni Mhadhiri wa Taaluma za Kiswahili kutoka Chuo Kikuu Huria atasikika leo Jahazini akimwelezea Edwin Semzaba enzi za uhai wake na mchango wake kwenye tasnia ya Kiswahili.

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours