Muuza Madawa ya Kulevya maarufu duniani, Guzman amekamatwa tena baada ya kutoroka gerezani Julai mwaka jana.
Serikali ya Mexico imetangaza kuwa imefanikiwa kumnasa baada ya kutumia askari maalumu, Guzman ni Bilionea wa madawa ya kulevya ambaye ameshaua watu wengi na ni tishio kubwa kwa yeyote anayefuatilia nyendo zake.
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours