una taarifa imenifikia leo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa kuhusu ishu mbili, kwanza kuhusu oparesheni ya kukamata wahamiaji haramu na pia ishu ya agizo la kupiga marufuku mavazi ya vimini.

Majibu yaliyotolewa leo ni kwamba Serikali inahimiza watu kuvaa mavazi ya heshima lakini Rais Magufuli hajapiga marufuku mavazi ya aina yoyote ikiwemo sketi fupi.

Kwa upande wa wafanyabiashara wageni, Serikali imesema kuna oparesheni ya kawaida ya kukamata wahamiaji haramu wasio na vibali, hiyo haihusiani na wala haimaanishi kuwafukuza wafanyabiashara wageni.

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours