Habari zilizotujia hivi punde ni kua hostel ya mabibo block b hostel inayotunza wanafunz wa chuo kikuu cha dar es salaam. Ilikua hatarini kuteketea kwa moto baada ya kuungua lakini jitihada za wanafunzi zilifanikisha kuokoa hostel hiyo. Gar la zima moto lilichelewa kufika eneo la tukio hvyo kuendeleza uzembe wake. Habar juu ya chanzo cha moto bado hazijajulikana ila tutakutaarifu pind tutakapojua nn chanzo

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours