Articles by "Michezo"
Showing posts with label Michezo. Show all posts
SUNDAY JUMA: Mkongwe anayeshauri TFF kuwapa kipaumbele makocha wazawa

JINA la winga Sunday Juma, si geni masikioni mwa wapenzi wa soka nchini hasa wale wa klabu ya Simba maarufu Wekundu wa Msimbazi, kwani ...

Ibrahimovic amtaka Pogba kufanya kweli

KIUNGO mpya wa Manchester United, Paul Pogba, alikosolewa vikali na mashabiki wa timu hiyo baada ya kushindwa kung’ara katika mchezo wa ...

Micho: Nipo tayari kuifundisha Stars

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KOCHA aliyeipeleka Uganda katika Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika mwakani nchini ...

Mourinho kumwalika Guardiola baada ya ‘Manchester Derby’

KOCHA wa timu ya Manchester United, Jose Mourinho, amesema ataendeleza utamaduni wa kupongezana  kwa kumwalika mpinzani wake, Kocha wa ...

Cecafa yatibua ratiba Ligi Kuu

ALAAM BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limethibitisha kuwa Kenya itakua mwenyeji ya michuano ya Kombe la C...

 Terrell Owens To Dez Bryant Romo Might Be Done ... Get Chummy With Dak Prescott

Listen up,  Dez Bryant ... Terrell Owens -- the king of quarterback relationships -- has advice for you ... GET FRIENDLY WITH DAK PRESC...

Mke wa Mtanzania aliyeng’ara Olimpiki afunguka

WINFRIDA NGONYANI -DAR ES SALAAM NA ELIYA MBONEA, ARUSHA MKE wa Mtanzania aliyeng’ara katika michuano ya Olimpiki, Alphonce Simbu, Rehema...