BAADA ya mshiriki kutoka Uganda, Kakunda kujiondoa katika shindano la
Maisha Plus East Afrika 2016, mshiriki mpya kutoka Uganda, Ronald
Mutebi, ameripoti katika kijiji hicho huku akidai kwamba ana aleji ya
ugali.
Kuongezeka kwa mshiriki huyo ambaye alishinda katika usaili wa Uganda lakini alichelewa kupata taarifa ya kufika kijijini, kumeongeza idadi ya washiriki kutoka Uganda kufikia watatu baada ya mmoja wao kuyaaga mashindano hayo.
Washiriki wengine wanabaki kuwa kama walivyokuwa ambapo Kenya (4), Uganda (3), Burundi (4), Rwanda (4), isipokuwa Tanzania kupungukiwa na mshiriki mmoja kutoka Zanzibar aliyejitoa kutokana na tatizo la ugonjwa, hivyo kubaki washiriki 15.

0 comments so far,add yours