Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe amemtaka aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe amwache Rais Magufuli atimize wajibu wake, asiingilie maamuzi anayofanya Rais

Amesema kuwa “Hoja kuwa Serikali haijapungua ama kubwa au ndogo ama hoja kuwa Safari za nje ni muhimu na Rais amekosea kufuta ama kupunguza ni hoja ya mwanasiasa muflisi”

Membe amekuwa sehemu ya mfumo dhaifu ulotufikisha hapa kama Taifa. Amefaidika na safari za nje yeye binafsi bila manufaa kwa nchi. Membe akumbuke kila Rais ana Vision yake Magufuli believes matatizo ya Taifa letu yatamalizwa na sisi wenyewe kwa kudhibiti matumizi ya hovyo na yasiyo ya lazima na si kwa safari za Ulaya na kuendeleza Tabia ya Kuwa Omba omba.

Ni muhimu Membe afahamu Magufuli ana style yake tutampima kwa matokeo as of now hatujaona athari za safari labda Membe kama yeye binafsi anatakiwa aseme kufutwa safari kulimuathiri yeye binafsi kwa kukosa nafasi ya ukatibu mkuu wa Commonwealth that’s why leo anakosoa.

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours