Kama unakumbuka kulikuwa na mashindano ya Pop Stars miaka kadhaa iliyopita, majina matatu yakaibuka na ushindi alafu likaundwa kundi la ‘Wakilisha‘… hapo alikuwepo Witnesz, Shaa na marehemu Langa.
Wakilisha haijasikika kwenye ngoma ya pamoja lakini Shaa na Witnesz bado wako kwenye game… imenifikia ngoma mpya ya Witnesz ambapo amejipa na a.k.a ya ‘kibonge mwepec‘… wimbo unaitwa ‘Buku Jero

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours