Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.  Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.
Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.
1. Diamond Platnumz 1,502,578
2. Davido 1,498,823
3. Wizkid 1,362,760
4. Wema Sepetu 1,213,798
5. Millard Ayo 1,165,390
6. Don Jazzy 1,154,318
7. Jokate Mwegelo 1,098,848
8. Jacqueline Wolper 1,085,781
9. Zari the Bosslady 1,084,842
10. Vanessa Mdee 1,061,682
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours