Wakati Tanzania Ikiwa katika majinzi kwa kumpoteza msanii wa kizazi kipya Huko Marekani pia Mwakilishi wa mwanamuziki Andre 3000 amethibitisha kutokea kwa kifo cha mama yake mzazi Sharon Benjamin-Hodo, kutokana na Billboard.com
mama huyo alikutwa amekufa ndani ya nyumba yake iliyoko Atlanta siku ya jumatatu (May 27), siku ambayo ni siku ya kuzaliwa ya Andre 3000 akifikisha miaka 38.
mama yake na Andre alikuwa ni muanzilishi wa Starlight Camp kwa ajili ya watoto wasiojiweza, yenye kufanya kazi zake nje ya New Morning Light Missionary Baptist Church iliyoko Conley, Georgia.
Andre 3000 ni member wa kundi la OutKast.
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours