Updates:

Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Michael Denis Mhina (John Woka )

Kuaga mwili siku ya kesho (jumatano) muhimbili hospital kuanzia saa 3:00 asubuhi ikitangulia ibada halafu kuaga mwili na safari ya kuelekea Tanga itaanza.

Tanga mjini nyumbani kwao Sahare mwili utaagwa kesho yake (alhamisi) asubuhi baada ya hapo ni safari kuelekea Kijijini kwao Kigongoi,wilayani Kilindi kwa mazishi.

Shughuli zote za kumalizia msiba zitafanyika hapo hapo kijijini.

Kwa watakaokuwa na rambirambi,kesho wakati wa kuaga mwili familia imeteua ndugu atakayekuwa akikusanya na kuandikisha majina kwa watakaotoa rambirambi zao.

Yakitokea mabadiliko nitawafahamisha.

Asanteni!#djchoka

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours