RAY AMESEMA HATUMII MKOROGO ILA HII NDIYO SIRI YA MUONEKANO WAKE.

Ray kigosi,star wa filamu Bongo amesema hajawahi kutumia mkorogo (kujichubua) ila Siri ya muonekano wake ni mazoezi anayofanya na kunywa maji mengi.

Ray ambaye Usoft wa ngozi yake umeonekana kuchukuliwa na mashabiki kama anatumia Dawa za kubadili ngozi ya mwili(mkorogo) ametoa kauli hii ikiwa ni siku chache tangu Nay wa Mitego alipomtaja kwenye "SHIKA ADABU YAKO"kuwa anatumia mkorogo.

Jamaa amesema siku za nyuma alikuwa hana time na issue za saloon na kufanya #Scrubing ndo maana akawa anaonekana vile lakini siku hizi mazoezi kwa sana,kunywa maji ya kutosha na kufanya #Scrubing Mara kwa Mara

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours