Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini imesema kwasasa imekwishaimarisha mifumo yake ya kupokea na kushuhulikia malalamiko ya wanafunzi haswa kwa waliokosa mikopo kwenye bodi hiyo.
Hayo yamebainiswa na meneja wa habari, elimu na mawasiliano wa bodi hiyo Bwana Omega Ngole huku akisema bodi hiyo kwasasa imejipanga vyema katika kuhakikisha wanafunzi wanaomba mikopo wanapata mikopo kwa wakati.
Bwana Omega Ngole ametoa wito kwa mafisa mikopo wa vyuo hapa nchini kuhakikisha wanabainisha matatizo ya wanavyuo na kuyashuhulikia kwa wakati ili kupunguza migogoro ya wanavyuo hao katika upatikanaji wa mikopo

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours